Jinsi ya Kutumia
Meza vidonge 2 kila siku na maji (asubuhi au jioni)
• Ashwagandha husaidia kupunguza stress na kuongeza umakini
• Moringa huupa mwili virutubisho muhimu kwa nguvu na uimara
• Kwa matumizi ya mara kwa mara, mwili hurudisha usawa na utendaji huongezeka kiasili